1
/
ya
1
Ushauri wa uthaminishaji wa majengo na ardhi
Ushauri wa uthaminishaji wa majengo na ardhi
Bei ya kawaida
150,000.00 TZS
Bei ya kawaida
Bei ya mauzo
150,000.00 TZS
Bei ya bidhaa moja
/
kwa
Mascani.io inakuunganisha na wataalamu wa uthaminishaji wa majengo na ardhi, ili kutoa ushauri kuhusu namna ya kupata thamani halisi ya mali zako kabla ya kufanya manunuzi, kuuza, au mikopo.
Huduma hii inahusisha uchambuzi wa kina kuhusu soko la mali, ukubwa wa ardhi, miundombinu, na hali ya kisheria ya mali. Mteja atapata kuunganishwa na wataalamu wa uthaminishaji wa majengo na ardhi, ambao watafanya tathmini ya mali na kutoa ripoti ya kina kuhusu thamani yake.
Huduma hii inapatikana kwa gharama ya TZS 150,000 kwa lisaa, na malipo hufanyika baada ya ushauri kutolewa.
Sambaza
Haikuweza kupakia upatikanaji wa kuchukua
