Msanifu wa Majengo (Architect)

Msanifu wa Majengo (Architect)

Regular price 70,000.00 TZS
Regular price Sale price 70,000.00 TZS
Sale Zimeisha

Tunakuunganisha na wasanifu wa majengo ili kubuni muonekano wa ndani na nje wa mradi wako, pamoja na utendaji kazi wake.

Kwa kutumia mfumo huu, utatuma maombi, lakini malipo yatafanyika mara baada ya huduma uliyoomba kukamilika. 

Ufafanuzi: 

  • Kiasi cha TZS 70,000  ni ada unayolipa kwa huduma ya kuunganishwa na mtaalamu (agent fee). Haya ni Malipo yanayolipwa kwetu kwa kukuwezesha kupata mtaalamu anayekidhi mahitaji ya mradi wako. 
  • Malipo ya kazi yenyewe (service fee) yatajadiliwa moja kwa moja kati yako na mtaalamu wakati wa kusaini mkataba, baada ya mahitaji na majukumu ya kazi kufafanuliwa kikamilifu. 
View full details