Fundi Ujenzi (Mason)

Fundi Ujenzi (Mason)

Regular price 50,000.00 TZS
Regular price Sale price 50,000.00 TZS
Sale Zimeisha

Kupitia huduma hii, tunakuunganisha na mafundi ujenzi wazoefu kwa ajili ya mradi wako, wataojenga nyumba au mradi wako kwa ufanisi wa hali ya juu. 

Kwa kutumia mfumo huu, utatuma maombi, lakini malipo yatafanyika mara baada ya huduma uliyoomba kukamilika. 

Ufafanuzi: 

  • Kiasi cha TZS 50,000  ni ada unayolipa kwa huduma ya kuunganishwa na fundi ujenzi (agent fee). Haya ni Malipo yanayolipwa kwetu kwa kukuwezesha kupata fundi anayekidhi mahitaji ya mradi wako. 
  • Malipo ya kazi yenyewe (service fee) yatajadiliwa moja kwa moja kati yako na fundi wakati wa kusaini mkataba, baada ya mahitaji na majukumu ya kazi kufafanuliwa kikamilifu. 
View full details