1
/
of
0
Mtaalamu wa Teknolojia za Kidigitali
Mtaalamu wa Teknolojia za Kidigitali
Regular price
70,000.00 TZS
Regular price
Sale price
70,000.00 TZS
Unit price
/
per
Kupitia huduma hii, tunakuunganisha na wataalamu wa teknolojia za kidigitali watakaokusaidia kufunga mifumo ya kisasa kama camera, kwenye majengo yako.
Kwa kutumia mfumo huu, utatuma maombi, lakini malipo yatafanyika mara baada ya huduma uliyoomba kukamilika.
Ufafanuzi:
- Kiasi cha TZS 70,000 ni ada unayolipa kwa huduma ya kuunganishwa na mtaalamu (agent fee). Haya ni Malipo yanayolipwa kwetu kwa kukuwezesha kupata mtaalamu anayekidhi mahitaji ya mradi wako.
- Malipo ya kazi yenyewe (service fee) yatajadiliwa moja kwa moja kati yako na mtaalamu wakati wa kusaini mkataba, baada ya mahitaji na majukumu ya kazi kufafanuliwa kikamilifu.
Share
Couldn't load pickup availability